Saturday, March 23, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

sherehe za Nooroz na mazazi ya Bi fatma AS

Siku ya tarehe 21 mwezi machi usiku wa saa mbili mpaka saa 5 kasoro kulifanyika sherehe tatu kwa wakati mmoja. Sherehe ya kwanza ilikuwa ufunguzi wa ukumbi mpya ambao ulijulikana kama ukumbi wa shahidi Ansar, sherehe ya pili ilijukana kama sherehe ya Noroz na sherehe ya tatu ilijukana kama sherehe ya kukumbuka mazazi ya motto wa Mtume Muhamad SAWW. Bibi Fatmah zahraa AS.

Sherehe ilikuwa kubwa na kufana sana maana muitikio ulikuwa mkubwa sana, ilikadiriwa kufika watu takriban mia tano, wakiongozwa na Balozi wa Jamhiri ya Kiislamu ya Iran BW. Musa Farhang, na Sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Salim.

Sherehe ilifunguliwa kwa kisomo cha Qur an tukufu iliyosomwa na Afisa kutoka ubalozi wa jamhuri ya kiislamu ya Iran Bwana Answari,

Ikifuatiwa na utambulisho wa wageni ambao ulifanywa na mwenyeji wa shughuli Bwana Ali Bagher ambaye ni mkurugenzi mkuu wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalioz wa Iran hapa Tanzania.

Wageni walikuwa ni wengi sana ambao miongoni mwao ni imam mkuu wa Masjid khoja Shia Ithnaashiria Dokta Ali dina, na Imam wa Msikiti wa Kigogo Sheikh Hemedi Jalala akiambatana na Masheikh wa kigogo kama Sheikh Ghawth Nyambwa, Sheikh Saidi Othman na Sheikh Muhamad Abdu, akiwa na Mweka Hazina wa Hawza ya Kigogo bwana Mputa,

 

Sherehe pia ilipambwa na Qaswida mbalimbali kutoka katika Hawza ya Kigogo ambayo ilikuwa kusifu mazazi ya Bi Fatwima AS

Mwisho kulikuwa na utoaji zawadi wa watoto wa kike walokuwa wana majina kama jina la motto wa mtume bi fatwima

Na pia watu walipata tabaruku ya chakula cha usiku kwa pamoja


11:17 - 6/04/2017    /    Number : 675177    /    Show Count : 246


Users Comment
No Comment for this news
Your Comment
Name :
E-mail : 
*Comments :
Captcha:
 

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 27691
Visitorsofday : 35
Visitorsofpage : 70521
Onlinevisitors : 1
PageLoad : 0.9843

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran