Saturday, March 23, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

uchaguzi wa Iran

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa wananchi wa Iran kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa leo.

 

 • Rouhani asema mahudhurio makubwa yataimarisha izza, usalama wa Iran

  May 19, 2017 07:45

  Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa rais unaofanyika hii leo hapa nchini akisisitiza kuwa, mahudhurio makubwa katika zoezi hilo yataimarisha izza na usalama wa Jamhuri ya Kiislamu.

 • Wananchi wa Iran leo wanashiriki katika uchaguzi wa Urais

  May 19, 2017 04:22

  Wananchi wa Iran waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua Rais wa nchi.

 • Uchaguzi wa Rais wa Iran kufanyika katika nchi 102 duniani

  May 18, 2017 15:26

  Mkuu wa kamati ya kusimamia uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nje ya nchi amesema kuwa, uchaguzi huo utafanyika katika nchi 102 na kwenye vituo 310 katika nchi mbalimbali duniani.

 • "Zaidi ya asilimia 72 ya wapiga kura kushiriki katika uchaguzi Iran"

  May 17, 2017 07:42

  Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa mujibu wa uchunguzi wa kuaminika wa karibuni kabisa wa maoni, zaidi ya asilimia 72 ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura watashiriki katika uchaguzi wa keshokutwa Ijumaa hapa nchini, na kuna uwezekano idadi hiyo ikaongezeka katika kipindi cha siku hizi chache zilizobakia.

 • Balaklanev: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo cha demokrasia Mashariki ya Kati

  May 17, 2017 07:41

  Mkuu wa jamii ya Waislamu wa Kishia nchini Russia amesisitiza kuwa, Iran ndiyo nchi yenye mfumo wa kidemokrasia zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo kilichofanikiwa cha utawala wa wananchi katika ulimwengu wa Kiislamu.

 • Makamu wa Rais wa Iran ajiondoa katika kinyanganyiro cha urais

  May 17, 2017 03:52

  Eshaq Jahangiri, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amejiondoa katika mchuano wa kuwania urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, siku moja baada ya wagombea wengine wawili wa kiti hicho kutangaza kujiondoa kwenye mchuano huo wa Ijumaa ijayo.

 • Waziri wa Ulinzi Iran: Kushiriki kwa wingi Iran katika uchaguzi

  May 16, 2017 13:38

  Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Ijumaa ndio kinga kubwa zaidi ya kuyazuia madola ya kibeberu yanayotoa vitisho dhidi ya Iran.

 • Qalibaf ajiondoa katika uchaguzi wa rais Iran, amuunga mkono Raisi

  May 15, 2017 13:45

  Meya wa Tehran Mohammad Baqer Qalibaf amejiondoa katika mchuano wa kuwania urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

 • Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran

  May 14, 2017 16:26

  Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa Ijumaa ijayo ya tarehe 19 Mei 2017 kutaipa kinga madhubuti Iran mbele ya vitisho vya maadui.


 • 12:57 - 19/05/2017    /    Number : 678301    /    Show Count : 229


  Users Comment
  No Comment for this news
  Your Comment
  Name :
  E-mail : 
  *Comments :
  Captcha:
   

  Search
  Advance Search Web Search
  banners
  Kiongozi Muadhama

  Imam

  Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

  presstv

  Radio Tehran

  Al-hikma

  Iqna

  Irna

  Mubaligh

  Jamiatul Mustafa (SAWW

  Islamica

  Rayhanee
  vote
  Disable
  UsersStats
  Visitorsofpage: 27687
  Visitorsofday : 29
  Visitorsofpage : 70515
  Onlinevisitors : 1
  PageLoad : 1.5312

  Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran