Saturday, March 23, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

Semina"Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni yafanyika Dar es salaam

Semina"Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni yafanyika Dar es salaam

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salimu akiongea na Hadhira katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.  
Kiongozi Mkuu wa Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala akiongea katika Semina inayozungumzia Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Jana Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.

Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe.Mussa Farahang akitoa mada katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es alaam.  

Muasisi na Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo Tanzania Nabii Paulo Bendera akiwakilisha mada yake katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Imam Khomein (r.a) ni Muasisi wa Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiilamu ya Iran kwa kumuondoa Mfalme Shaah.


10:20 - 6/06/2017    /    Number : 679601    /    Show Count : 313


Users Comment
No Comment for this news
Your Comment
Name :
E-mail : 
*Comments :
Captcha:
 

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 27688
Visitorsofday : 30
Visitorsofpage : 70516
Onlinevisitors : 2
PageLoad : 1.4219

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran