Wednesday, March 20, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

Salam za Mapinduzi ya Kiislamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Bagheri.JPGMkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema februar 11 ni siku muhimu ya maadhimisho ya mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hivyo anahamasisha Waislamu kuadhimisha siku hiyo

Dk. Bagheri alisema hayo Dar es salam  jana alipokuwa anazungumza na waandihsi wa habari kuhusiana na maadhimisho hayo.

Ni muhimu kuwakumbusha kuwa Mapinduzi ya Kiislamu yanaendeleza shughuli zake katika mazingira ambayo nguvu za pamoja  zinajaribu kushindana na Mapinduzi hayo na kutumia mbinu mbalimbali.

 februari 11 kila mwaka ni kumbukumbu za ushindi wa  Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambazo zinafanyika kila mwaka , ambao ushindi huo ulipatikana mwaka 1979 chini ya uongozi wa Imam Khomeni (ra) mwasisi mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalifanikiwa kuupindua utawala hasimu na wakidikteta wa  Pahlavi Shah alisema,

akiongeza kuwa ushindi wa mapinduzi uliashiria kuporomoka kwa udikteta wa Pahlav Shah uliotawa kwa kipindi cha miaka 2500 ukiungwa mkono na mataifa ya Marekani na Magharibi pamoja na Ufaransa

aliongeza, mfano Imam  Khomeini (MA) katika uongozi wake ambao hauna shaka kuwa uongozi wake ndio uliongoz mapinduzi haya kwa uwezo wake mkubwa alifanikihs zoezi hili na mpaka mapinduzi yakatokea


10:59 - 8/02/2018    /    Number : 698357    /    Show Count : 146


Users Comment
No Comment for this news
Your Comment
Name :
E-mail : 
*Comments :
Captcha:
 

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 27609
Visitorsofday : 15
Visitorsofpage : 70377
Onlinevisitors : 1
PageLoad : 1.3125

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran