Saturday, March 23, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

kumbukizi ya Mazazi ya Imam Mahd (ATS) Jijini Dar es Salaam - Tanzania

 

Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kilichopo Dar es salaam Sheikh  Baqir akiongea katika  Hafla ya Kusheherekea kumbukumbu ya siku ya  Kuzaliwa Imam Muhammad  Al_Mahdi (a.s), ambae ni Mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), leo katika Maeneo ya Chuo cha Kiislamu cha Jamiya Al Mustafa International University Jijini Dar es salaam.

 

 

Mmoja wa Walimu wa Chuo cha Kiislamu cha Jamiya Al Mustafa International University cha Dar es salaam Sheikh Mulaba  Swaleh akiongea kwenye  Hafla ya  Kusheherekea kumbukumbu ya Siku ya  Kuzaliwa kwa Mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), ambae ni Imam Muhammad Al_Mahdi (a.s), Leo katika Viwanja vya Chuo hicho Jijini Dar es salaam.


Wanafunzi wa Chuo cha Kiislamu cha Jamiya Al Mustafa International University wakiimba Qaswida inayomuhusu Imam  Al_Mahdi (a.s), leo katika Hafla ya Kumbukumbu ya Siku ya  KuzaliwaImam Muhammad  Al_Mahdi (a.s), ambae ni Mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), Jijini Dar es salaam

 

Raisi wa Chuo cha Kiislamu cha Jamiya Al Mustafa International University cha Dar es salaam Sayyid  Ridhawi akiongea kwenye Hafla ya Kusheherekea kumbukumbu ya siku ya  Kuzaliwa Imam Muhammad  Al_Mahdi (a.s), ambae ni Mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), Jijini Dar es salaam.

 

 

 


10:50 - 4/05/2018    /    Number : 704599    /    Show Count : 104


Users Comment
No Comment for this news
Your Comment
Name :
E-mail : 
*Comments :
Captcha:
 

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 27698
Visitorsofday : 43
Visitorsofpage : 70529
Onlinevisitors : 1
PageLoad : 1.1094

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran