Saturday, March 23, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

Shereha za kukumbuka mazazi ya mtume SAWW

 

Siku ya tarehe 22 mwezi wa kumi na moja ilikuwa ni siku kubwa sana hapa katika Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwani kulifanyika sherehe kubwa sana za mazazi ya bwana mtume muhammad saww.

Hafla hiyo ilianza kwa kisomo cha Qur"an tukufu iliosomwa na Ustadhi maarufu sana hapa Tanzania naye si mwingine bali ustadh Hassani Shah ambaye kwa umahiri mkubwa aliweza kusoma aya chache za Qur"an, hakika aliwahimiza sana wenye kupenda kisomo cha Quran kwa njia ya tajwidi,  baada ya kisomo hicho cha Quran Tukufu kilifuata Qaswida ambayo pia ilisomwa na huyo huyo Ustadh  Hassani Shah ambaye pia ilinogesha hafla hiyo.

Baada ya kisomo cha ufunguzi wa hafla ilikuwa ni zamu ya bwana Baqeri ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu alitoa hutuba fupi ya kuwashukuru Watanzania kwa kuishi naye hapa Nchini kwa takriban miaka mitatu na nusu, alisema hakika Tanzania ni kama nyumbani alivyojihisi pindi alipokuwa hapo.

hakiaka kwa kipindi chote nilichokuwa hapa nilijihisi kama niko nyumbani nawashukuru sana ndugu zangu wa tanzania kwa ukarimu na upendo wenu kwa kwa kipindi chote nilipokuwa hapa tanzania,

pia ailiitumia nafasi hiyo kumkaribisha mrithi wake ambaye amechukua zimam ya kuwa mkurugenzi mpya wa kituo hiki cha utamaduni cha uboloz wa jamhuri ya kiislamu ya iran, nakuombea dua uwe hapa na usijihisi upweke kwani hapa nikama nyumbani.

pia katika nafasi hiyo ya hafla alipatana nafasi ya kuzungumza sheikh wa mkoa alhadi musa salimu ambaye alionesha masikitiko kwa kuondoka mkurugenzi bwana ali bagheri ambaye alikuwa kama rafiki yake wa karibu bwana bagheri unaondoka lakini tutakumisi sana ila hakuna budi kwa sababu ni nidhamu ya kukabiziana kijiti basi hakuna ila ni kumkabizi mkurugenzi mpya, na kwako mkurugenzi mpya nadhani tulishawahi kukutana maana sura yako sio ngeni machoni petu, alisema sheikh alhadi musa salimu,

balozi wa jahmri ya kiisalmu bwana musa farhang aliwatakia waislamu mkono wa baraka katika mazaza na wiki ya umoja alisema hakika imam khomeini ra alipokuwa kiongozi wa jamhri ya kiislamu ya iran aliweka siku saba kama wiki ya umoja kuanzia tarehe 12 rabiul awali mpaka tarehe 17 rabiuli awali kama wiki ya umoja na ndio anaendelea hata kipindi hiki cha utawala wa kiongozi wa kiroho ayatullah ali kahamene dd. wiki ya umoja haimanishi kuwa waislamu wawe wamoja kwa siku tano tu la inatakikana waislamu wawe wamoja katika mzunguko wa siku 365 yaa ni mwaka na miaka yote, mwisho alitoa shukrani zak kwa bwana bagheri kwa kazi nzuri alofanya kipindi chote alichokuwa hapa tanzania na kumkaribisha mkurugenzi mpya,

hapo palikuwa na mapumziko mafupi ya kisomo cha qaswida kutoka kwa sheikh abdul Azizi Musa akafutiwa na sheikh jalala ambaye alionesha masikitiko makubwa kwa kuondoka bwana bagheri

mwisho shuhuli zilifungwa rasmi na mkurugenzi mpya bwana Abas Farmand

 

 


16:54 - 29/11/2018    /    Number : 718794    /    Show Count : 58


Users Comment
No Comment for this news
Your Comment
Name :
E-mail : 
*Comments :
Captcha:
 

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 27703
Visitorsofday : 50
Visitorsofpage : 70536
Onlinevisitors : 1
PageLoad : 1.3281

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran