Wednesday, March 20, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

SIKU YA ALKHAMISI YA TAREHE 29/11/2018 KITUO CHA UTAMADUNI CHA UBALOZI WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN KILIPATA FURSA YA KUTEMBELEWA NA WANAFUNZI WA SEMINARY YA KIISLAM YA ALMUNTAZIR

 LENGO LA ZIARA HIYO NI KUJIFUNZA UTAMADUNI WA NCHI YA KIISLAM YA IRAN KUPITIA FILAM NZURI NA  AMBAYO INAJULIKANA KAMA "MFALME SULEIMANI" AU KWA KIFARSI "MULKU SULEIMAN" AU KWA KIINGEREZA INAJULIKANA KAMA "KING SOLOMONI"

KABLA YA KUANZA FILAMU KULIKUWA NA HUTUBA FUPI KUTOKA KWA MKURUGENZI WA KITUO CHA UTAMADUNI CHA UBALOZI WA JAMHURI YA KIISLAMU BWANA ABBAS FARMAND

ALIANZA KWA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WA ALMUNTAZIRI NA KUWAAMBIA KUWA  KITUO CHA UTAMDUNI KINA SHUGHULI NYINGI NA MOJA YA MALENGO YAKE NI KUTAMBULISHA UTAMADUNI WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN HAPA TANZANIA NA KUCHUKUA UTAMADUNI WA HAPA TANZANIA KUUTAMBULISHA KWA WATU WA IRAN. ALIWATAKA WANAFUNZI WAANGALIE FILAM KWA MAKINI NA WAJIFUNZE KUPITIA FILAMU HIYO.

ALITOA MAELEZO MAFUPI KUHUSU FILAMU KUWA NABII SULEIMANI ALIPEWA KIPAJI KIKUBWA SANA NA MWENYEZI MUNGU KAMA KUONGEA NA WANYAMA NA KUAMRISHA UPEPO NA KUUTUMIA ATAKAVYO.

 MWISHO ALIWAKARABISHA SANA WANAFUNZI WAJIHISI KAMA WAKO NYUMBANI KWAO. NA BAADA YA HUTUBA HIYO FUPI ILIANZA KUONYESHWA FILAMU, KATI KATI YA FILAMU KULIKUWA NA MAPUMZIKO MAFUPI KWA AJILI YA KUPATA VINYWAJI  NA WAKAENDELEA NA KUTAZAMA  MPAKA MWISHO WA FILAMU. NA MWISHO ILIKUWA NAFASI YA VIONGOZI WA WANAFUNZI KUTOA SHUKRAN ZAO KWA KITUO CHA UTAMADUNI KWA KUPEWA MWALIKO HUO WA KUJIFUNZA JINSI GANI NCHI YA KIISLAM YA IRAN ILIVYOPIGA HATUA KATIKA TASNIA NZIMA YA FILAM NA KUAHIDI KUWA WATAKUWA WAJUMBE WAZURI KWA WENZAO JUU  YA MAENDELEO YA IRAN .WANAFUNZI HAO WALIONGOZWA NA MWALIM MAYSAM FAZAL NA  FILAM ILIANZA SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI MPAKA SAA SITA NA NUSU MCHANA


08:40 - 3/12/2018    /    Number : 718983    /    Show Count : 47


Users Comment
No Comment for this news
Your Comment
Name :
E-mail : 
*Comments :
Captcha:
 

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 27604
Visitorsofday : 8
Visitorsofpage : 70370
Onlinevisitors : 2
PageLoad : 1.5156

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran