Wednesday, March 20, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


  Print        Send to Friend

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu atoa mkono wa pole kwa kifo cha Ayatullah Hashemi Shahroudi

Katika ujumbe wa salamu za rambirambi na mkono wa pole aliotoa leo, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza masikitiko na kubainisha huzuni na majonzi aliyonayo kwa kifo cha Ayatullah Hashemi Shahroudi na kusisitiza kwa kusema: Kuondokewa huku na msiba huu wa kusikitisha uliotokea baada ya karibu mwaka mmoja wa maradhi makubwa na thakili, umewaumiza watu wote wanaoitambua hadhi yake ya kielimu na utumishi wake wenye thamani kubwa kwa Mfumo wa Kiislamu na vile vile kwa taaluma za fiqhi, usuli na sheria katika vyuo vya kidini.

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemtaja Ayatullah Hashemi Shahroudi kuwa ni alimu mkubwa katika Hawza ya masomo ya dini ya Qom, mtendaji mwaminifu katika chombo muhimu zaidi cha Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu, mjumbe mwenye taathira kubwa katika Baraza la Walinzi wa Katiba na mwenyekiti aliyefanikiwa katika Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo.Ayatullah Sayyed Mahmoud Hashemi Shahroudi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo na mkuu wa zamani wa vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, aliaga dunia jana jioni akiwa na umri wa miaka 70 baada ya kuugua kwa muda mrefu...


09:43 - 26/12/2018    /    Number : 720622    /    Show Count : 45


Users Comment
No Comment for this news
Your Comment
Name :
E-mail : 
*Comments :
Captcha:
 

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 27605
Visitorsofday : 10
Visitorsofpage : 70372
Onlinevisitors : 1
PageLoad : 1.3906

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran