Wednesday, March 20, 2019 Home|Habari|فارسي|Kiswahili
 

Nyumbani|Uislamu|Lugha ya Kifursi|FAQ|Wasiliana nasi|Links|Sitemap
Title
iran
.
Login
Username :   
Password :   
 
Captcha:
[Signup]
NewsletterSignup
Name :   
E-mail :   


Iranian New Year (Nowruz)
Nowruz Eid is the oldest and most important festival for Iranians, celebrated for over 3000 years. In Iran, the first day of the New Year is 21 March. It is also the first day of spring and Iranians celebrate them both as Nowruz Eid. Nowruz means ‘new day’ – or the first day of the New Year. Many countries such as: Iran, Tajikistan, Turkey, Azerbaijan, Georgia, Turkmenistan, and Afghanistan celebrate Nowruz. In Iran, the year starts on the first day of spring and lasts until the end of winter.
 11:45 - 15/03/2019 - Comments : 0More >>
Shiraz and Baluch Book Launch
Today we are very happy to launch a Book that describes the history of the Shiraz and Baluch in Tanzanian, taking into account that the presence of the Shiraz and Baluch in Tanzania had a great effect on future generations I urged Tanzanians to have a clear understanding of on historic relations between the Tanzanian and the Iranian nation through Shiraz and Baluchi who came to Tanzania before even Tanzanias independence and pay attention to all who mislead this History. "The launch of this Book is only part of the culture and history that Tanzanians have to understand, and I believe it will remain for a long time, "I would like to tell Tanzanians that there is a long and bigger history that has changed, I regret this trick where history begins to disappear and it is right time now to be repeated, history and culture that Tanzanians can have a common support to all neighboring countries of East Africa. I thank all they made great efforts to achieve this book
 09:51 - 8/03/2019 - Comments : 0More >>
kumbukizi ya miaka 40 ya mapinduzi ya Iran
Watanzania Msikubali Madola ya Kigeni kuingilia Siasa za Ndani” Balozi wa Iran. Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchi Tanzania Mhe. Mussa Farhang akiongea katika Semina ya kuelekea Maadjimisho ya Miaka 40 ya Serikali ya Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, iliyofanyika Jana katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini Jijini Dar es salaam, Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran chini Mhe. Abbas Farhand. Na: Twalha Ndiholeye Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Mhe. Mussa Farhang amewataka Wananchi wa Tanzania hususani Wasomi, Wanachuo na Wananasiasa kutokuruhusu uingiliaji wa Siasa za Madola ya Kigeni katika siasa ya ndani ya nchi na kuwataka wasiwe tegemezi ili kuenzi Uhuru na Amani uliopo. “Wananchi wa Tanzania, Jamii ya Wasomi, Wanachuo na Wanasiasa wasiruhusu kabisa ule uingiliaji wa siasa wa Madola ya Kigeni katika siasa za ndani,tusiwe tegemezi kwani Uhuru wetu hautakuwa na faida yoyote, dhamani yoyote na nguvu yoyote” alisema Balozi Farhang.
 09:50 - 8/02/2019 - Comments : 0More >>
Leader of the Islamic Revolution Ayatollah Seyed Ali Khamenei called for efforts to prevent any deceleration in Iran’s scientific progress.
In an address to a gathering of officials and researchers from the Institute for Cognitive Science Studies (ICSS), held in Tehran on Wednesday, Ayatollah Khamenei highlighted the need for steady scientific progress in the country. Hailing the good scientific growth in Iran over the past 20 years, the Leader underscored, “The pace of this scientific movement should not slacken, but it must be maintained and strengthened for the next twenty to thirty years, until we reach the pinnacle.” Ayatollah Khamenei then warned that any nation lagging behind the rest of the world in the new sciences and technologies will be doomed to underdevelopment, humiliation and exploitation by foreign powers.
 09:47 - 29/01/2019 - Comments : 0More >>
Mkuu wa Atomi aeleza mafanikio ya Iran
Mkuu wa Shirika la Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni nchi pekee huru na yenye kijitegemea miongoni mwa nchi zinazostawi na nchi hii pia ni ufunguo wa dhahabu katika eneo. Ali Akbar Salehi aliyasema hayo Jumapili mjini Tehran alipohutubu katika kongamano la "Ghaza, Nembo ya Muqawama (Mapambano)." Salehi amepongeza wanamuqawama au wapigania ukombozi wa Palestina na kusema ushindi wao ni ahadi ya yakini iliyotolewa na Mwenyezi Mungu. Amesema pamoja na kuwa Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wako chini ya mzingiro wa Wazayuni lakini wameweza kuwashinda Wazayuni vitani mara kadhaa. Akijibu swali pambizoni mwa kikao hicho kuhusu matamshi ya John Bolton Mshauri Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Marekani aliyedai kuwa Iran inatoa ripoti zisizo sahihi kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, Salehi amesema hadi sasa Boton hajawahi kutoa matamshi sahihi. Akibainisha kuhusu sekta ya nyuklia ya Iran, Salehi amesema, Iran imeweza kupata mafanikio ya kiwango cha juu katika uga wa teknolojia ya nyuklia kwa kutegemea wataalamu wa ndani ya nchi bila msaada wa kigeni. Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran pia ameashiria kadhia ya mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita makubwa duniani, ambayo yanajulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA, na kusema: "Uamuzi wa kubakia au kutobakia katika mapatano hayo utachukuliwa na jopo linalosimamia mapatano hayo; litachunguza na kutathmini hali ya mambo na kuchukua maamuzi kwa mujibu wa maslahi ya taifa.
 09:36 - 21/01/2019 - Comments : 0More >>
The 22nd International University Theater Festival (IIUTF)
The 22nd International University Theater Festival (IIUTF)
 15:01 - 14/01/2019 - Comments : 0More >>
Kitabu cha Baluchi Tanzania
Charles Mustapha Kayoka teaches at the Department of Creative Arts of the College of Humanities, University of Dar-es-Salaam. He has spent the last seven years in making visual documentation and presentation (exhibitions) of various aspects of Tanzania’s historical past. He has conducted several researches and exhibitions on the history of Islam and Christianity in Tanzania. The Shiraz and Baluchi are two foreign ethnic groups originating from Iran who migrated to, and settled in, East Africa many centuries ago. Migrations started in the first millenium with the Shiraz dynasties who established flourishing and renown cultural and trade centres along the Eastern African costs. Their centuries of settlement and mixing with local people and cultures have resulted into long-term impact ...
 13:08 - 4/01/2019 - Comments : 0More >>

2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next Page >>

Search
Advance Search Web Search
banners
Kiongozi Muadhama

Imam

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

presstv

Radio Tehran

Al-hikma

Iqna

Irna

Mubaligh

Jamiatul Mustafa (SAWW

Islamica

Rayhanee
vote
Disable
UsersStats
Visitorsofpage: 15198
Visitorsofday : 23
Visitorsofpage : 70385
Onlinevisitors : 2
PageLoad : 0.9063

Home|Habari|Kutuhusu|Programu|Historia ya mahusiano ya kitamaduni|Mahusiano ya jumuia zingine |Machapisho|Ushirikiano na Maktaba zingine|Matukio ya Kiutamaduni|Ofisi zingine za Iran